iqna

IQNA

qurani tukufu inasemaje
Qur'ani Tukufu Inasemaje/30
TEHRAN (IQNA) – Kuna kitabu chenye ufasaha wa kipekee na wa hali ya juu ambapo nukta ya kuvutia ni kwamba mwandishi wake si binadamu.
Habari ID: 3477581    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/11

Qur’ani Tukufu Inasemaje/53
TEHRAN (IQNA) – Tunakabiliana na kushindwa na kupata mafanikio katika maisha lakini ni ya muda mfupi. Kwa hiyo hatupaswi kukasirika wakati kuna kushindwa au kufeli.
Habari ID: 3477084    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/02

Qur'ani Tukufu Inasemaje/52
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inaona ni muhimu kwa kila kizazi kujua kuhusu vizazi vilivyopita ili kujifunza kutoka kwao na kutambua wajibu wao.
Habari ID: 3477052    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/27

Qur'ani Tukufu Inasemaje / 51
TEHRAN (IQNA) – Iwapo mtu atatuhimiza kuharakisha, tutamuuliza tuharakishe katika uwanja gani. Lakini wakati mwingine swali hili hili linaweza kutupeleka kwenye upuuzaji na kutufanya tuharakishe katika jambo ambalo si zuri kwetu.
Habari ID: 3477009    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/17

Qur'ani Tukufu Inasemaje/ 47
TEHRAN (IQNA) – Mwito unapowaalika watu kumwamini Mwenyezi Mungu, wapo wanaofuata wito na kunakuwa na umoja miongoni mwa wanaoukubali wito huu.
Habari ID: 3476709    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/15

Qur'ani Tukufu Inasemaje /46
TEHRAN (IQNA) - Baadhi ya wanadamu hupokea Salawat za Mwenyezi Mungu za baraka na amani. Wafasiri wa Qur'ani Tukufu wanasema kwamba Salawat ya Mwenyezi Mungu si maneno tu bali ni baraka, nuru na amani ambayo mtu huisikia kutoka ndani.
Habari ID: 3476672    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/07

Qur'ani Tukufu inasemaje /45
TEHRAN (IQNA) – Kuna mawazo tofauti yanayoletwa kwa wanadamu kama dini na kila moja ina wafuasi fulani. Kuna mitazamo mbalimbali kuhusu dini gani inayoonyesha njia sahihi na hapa tutabainisha mtazamo wa Quran.
Habari ID: 3476447    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/22

Qur'ani Tukufu Inasemaje / 44
TEHRAN (IQNA) – Kuna matukio ya kiapo yaliyotajwa ndani ya Qur'ani Tukufu. Mungu Mwenyezi hutumia njia hii anapotaka kuwaambia wanadamu jambo muhimu.
Habari ID: 3476410    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/16

Qur'ani Tukufu Inasemaje/43
TEHRAN (IQNA) – Kuwa hai lakini kukosa matumaini, kutoridhika samamba na kuwa na machungu hakupendelewi na mtu yeyote. Kwa maneno mengine, maisha haimaanishi kuwa hai tu bali yanapaswa kuwa na furaha na kuridhika. Na Qur’ani Tukufu inazungumza kuhusu wale ambao hawafi kamwe.
Habari ID: 3476373    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/08

Qur'ani Tukufu Inasemaje /42
TEHRAN (IQNA) – Aya ndefu zaidi katika Qur’ani Tukufu inahusu masuala ya kisheria na jinsi ya kutengeneza nyaraka za biashara. Aya hii inaashiria jinsi Uislamu ulivyo mpana na jinsi unavyozingatia maelezo na kuandika mapatano.
Habari ID: 3476303    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/25

Qur'ani Tukufu Inasemaje /40
TEHRAN (IQNA) – Kuna nafasi tatu ambazo kila Mtume wa Mwenyezi Mungu amepewa angalau moja kati ya hizo na utume unaotokana na nafasi hiyo.
Habari ID: 3476236    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/12

Qur'ani Tukufu Inasemaje / 39
TEHRAN (IQNA) – Matokeo ya riba ni kwamba inasababisha watu dhaifu kifedha kupoteza mitaji yao yote na maisha yao kuharibiwa.
Habari ID: 3476194    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/04

Qur'ani Tukufu Inasemaje / 38
TEHRAN (IQNA) – Waumini wanapaswa kuchukua tahadhari wasifanye sadaka zao kuwa batili na zikose thamani kwa maudhi na matamshi yasiyofaa.
Habari ID: 3476155    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/27

Qur'ani Tukufu Inasemaje /37
TEHRAN (IQNA) – Ibara ya “kumkopesha Mwenyezi Mungu” imetajwa mara saba ndani ya Qur’an Tukufu kama uhimizaji dhahiri wa kuwasaidia wenye shida. Kifungu hiki cha maneno kina maana fulani iliyofichwa.
Habari ID: 3476129    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/22

Qur'ani Tukufu Inasemaje / 36
TEHRAN (IQNA) – Familia ni mojawapo ya misingi muhimu ya jamii na inabeba jukumu la kulea watoto wanaojenga vizazi vijavyo. Uislamu unalipatia umuhimu mkubwa kitengo hiki cha kijamii na umefafanua mifumo maalum kwa ajili yake.
Habari ID: 3476112    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/19

Qur'ani Tukufu Inasemaje / 35
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inatilia maanani sana familia, kitengo kidogo zaidi cha kijamii, na imechota haki za usawa za wanaume na wanawake. Moja ya haki hizo ni kukidhi gharama za maisha na Uislamu umewapa wanaume jukumu hili.
Habari ID: 3476099    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/16

Qur’ani Tukufu Inasemaje /34
TEHRAN (IQNA) – Katika aya nyingi za Qur’ani Tukufu Mwenyezi Mungu anawaonya wale wanaovuka mipaka na kuwa na mawazo yenye misimamo mikali, kama vile katika Aya ya 190 ya Sura Al-Baqarah: “Kwani Mwenyezi Mungu hawapendi waanzao uadui.”
Habari ID: 3476085    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/14

Qur'ani Tukufu Inasemaje /33
TEHRAN (IQNA) – Aya ya 130 ya Sura Aal Imran inauchukulia umoja baina ya Waislamu kuwa ni jambo la wajibu na inasisitiza kwamba Qur’ani Tukufu ndicho chanzo muhimu zaidi cha umoja katika Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3476048    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/07

Qur'ani Tukufu Inasemaje /32
TEHRAN (IQNA) – Kuna aya ndani ya Qur’ani Tukufu ambayo inatanguliza sifa 15 nzuri katika nyanja za imani, amali au matendo na maadili na inarejelea itikadi muhimu na kanuni za kivitendo za maadili.
Habari ID: 3476022    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/02

Qur'ani Tukufu Inasemaje / 26
TEHRAN (IQNA) – Mwanadamu hupatwa na masaibu au matatizo mbalimbali katika maisha yake yote, utotoni, akiwa mtu mzima, na anapoolewa na kuwa na familia yake.
Habari ID: 3475986    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/24